• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • VOLIBOLI: KCB yaenda Misri kupigania ubingwa wa Afrika

    (GMT+08:00) 2019-03-13 08:19:33
    Malkia wa voliboli KCB ya Kenya wamewasili nchini Misri kupigania taji la ubingwa wa Afrika kwa mchezo wa Voliboli kwa wanawake yatakayoanza Machi 16 hadi 25 jijini Cairo.

    Wachezaji sita kati ya saba wapya walionunuliwa na KCB mwisho wa msimu 2018 kutoka mabingwa wa zamani wa Afrika na Kenya, Kenya Pipeline, wamo kikosini. Kenya inajivunia kushinda mataji mengi ya Afrika katika klabu za wanawake. Imeshinda mataji 14.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako