• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KUOGELEA: Kukundakwe ajifua vilivyo kujiandaa na mashindano ya kuogelea ya wenye ulemavu

    (GMT+08:00) 2019-03-13 08:20:04
    Husinah Kukundakwe muogeleaji mtoto mwenye umri wa miaka 11 akiwa mwenye ulemavu wa mikono toka nchini Uganda, ameanza kujifua kujiandaa kwa mashindano magumu ya kimataifa ya kuogelea ya watu wenye ulemavu yanayotarajiwa kufanyika nchini Singapore mwezi May mwaka huu na michuano ya ubingwa wa dunia mchezo wa kuogelea kwa wenye ulemavu yatakayofanyika nchini Malaysia mwezi Agosti mwaka huu.

    Kocha wa mchezaji huyo amesema kwasasa amempangia ratiba maalum ya kujifua zaidi ili kuweza kufanya vizuri kwenye mashindano hayo na kupeperusha vyema bebdera ya Uganda kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako