• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • RIADHA: Simbu avunja rekodi, afuzu mbio za dunia

  (GMT+08:00) 2019-03-13 08:21:16

  Licha ya kutotwaa medali, mwanariadha wa Tanzania Alphonce Simbu amefuzu kushiriki mbio za dunia zitakazofanyika mwezi Septemba mwaka huu mjini Doha.

  Simbu amefikia viwango hivyo baada ya kukimbia muda mrefu kwenye mbio za ziwa Biwa zilizofanyika mwishoni mwa juma nchini Japan. Katika mbio hizo, Simbu alitumia saa 2:08:27 na kufanikiwa kuvunja rekodi yake aliyoiweka kwenye michuano ya Olimpiki ya Rio mwaka 2016.

  Kwa matokeo hayo sasa Simbu amejihakikishia nafasi ya kutetea medali yake kwenye mbio za dunia msimu huu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako