• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 50 washitakiwa Marekani kufuatia kashfa ya udanganyifu ya uandikishaji wa wanafunzi katika vyuo vikuu

    (GMT+08:00) 2019-03-13 09:37:52

    Idara za Uendeshaji mashtaka nchini Marekani zimewashitaki watu karibu 50 kufuatia kashfa ya udanganyifu, kuwa matajiri walitoa rushwa kuwawezesha watoto wao kuandikishwa katika vyuo vikuu bora vya Marekani. Kashfa hiyo iliyoanzia mwaka 2011 ilishuhudia jumla ya dola za kimarekani milioni 25 zilizolipwa kama rushwa, na watu hao walioshtakiwa ni pamoja na wapangaji watatu, wazazi 33, makocha tisa, wasimamizi wa mitihani ya SAT na ACT, msimamizi wa mtihani na mfanyakazi mmoja wa chuo kikuu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako