• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • BAISKELI: Rwanda yapania kufanya kweli mashindano ya baiskeli Afrika

  (GMT+08:00) 2019-03-14 07:45:01

  Timu ya taifa ya waendesha baiskeli ya Rwanda iko katika maandalizi makali kwa ajili ya mashindano ya baiskeli ya Afrika yaliyopangwa kufanyika mjini Bahir Dar nchini Ethiopia.

  Mashindano hayo ni ya 14 kufanyika tangu yaanzishwe mwaka 2005. Rwanda ilikuwa mwenyeji wa mashindano hayo mwaka jana, akizungumza na waandishi wa habari kocha wa timu ya vijana wanaume na wanawake na ile ya wanawake ya wakubwa Nathan Byukusenge amesema maandalizi yanaendelea vizuri na wako tayari kukabiliana na wapanda baiskeli bora Afrika.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako