• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UM watoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa ili kutimiza malengo ya maendeleo

    (GMT+08:00) 2019-03-14 08:31:40

    Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka katika kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa ili kutimiza malengo ya maendeleo endelevu SDGs. Kwa mujibu wa ripoti ya sita ya Mustakbali wa Mazingira Duniani GEO-6, iliyotangazwa pembezoni mwa mkutano wa nne wa Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa UNEA unaoendelea mjini Nairobi, hatua za haraka zinahitajika sasa na kuchelewa kwake kunaongeza gharama za kutimiza malengo ya maendeleo endelevu, na malengo ya Makubaliano ya Paris katika kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako