• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatoa ripoti kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Marekani

    (GMT+08:00) 2019-03-14 17:12:34

    China leo imetoa ripoti ya hali ya haki za binadamu nchini Marekani.

    Ripoti hiyo, 'Rekodi ya Haki za Binadamu nchini Marekani kwa mwaka 2018', imetolewa na Ofisi ya Habari ya Baraza la Serikali la China, ikijibu ripoti iliyotolewa jana na wizara ya mambo ya nje ya Marekani kuhusu haki za binadamu kwa mwaka 2018.

    Ripoti iliyotolewa na China inasema rekodi ya haki za binadamu ya Marekani ina kasoro, ya upendeleo, na inatumia vigezi viwili. China imesema, kuna vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Marekani katika maeneo tofauti, kuzuiwa kwa haki za kimsingi za raia, kuongezeka kwa pengo la kutokuwa na usawa, na hali mbaya ya ubaguzi wa rangi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako