• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tanzania-Waziri wa Kilimo atishia kuifungia NFRA

  (GMT+08:00) 2019-03-14 19:41:04
  Waziri wa Kilimo nchini Tanzania Japheth Hasunga ametishia kufuta wakala wa Uhifadhi wa Chakula nchini humo (NFRA) ,kama hautakuwa na uwezo wa kununua tani laki tano za mazao kwa wakulima.

  Hasunga ametoa kauli hiyo leo alipokuwa akizindua mashine maalum ya kusafisha mahindi iliyotolewa na Mpango wa Chakula Duniani (WFP),kwa NFRA ,jijini Dodoma.

  Alisema kuna mabadiliko makubwa yanayokuja kufanyika NFRA,kwa kuwa sio kazi tu ya kuhifadhi chakula bali lazima wanunue mazao yote ya ziada kwa wananchi na wakauze.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako