• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri Mkuu wa Uingereza aondoa uwezekano wa kupiga kura upya kuhusu Brexit

    (GMT+08:00) 2019-03-15 08:59:40

    Uingereza inapanga kuomba Umoja wa Ulaya ucheleweshe nchi hiyo kujitoa Umoja wa Ulaya hadi Juni 30 baada ya wabunge kuukataa mpango wake wa Brexit, na pia kukataa upigaji kura mpya wa kura za maoni kuhusu Uingereza kubaki au kujitoa Umoja wa Ulaya..

    Waziri Mkuu wa Uingereza Bibi Theresa May amekumbana na changamoto mbalimbali kwenye upigaji kura bungeni, na kushinda changamoto zote kwa kura.

    Kama Umoja wa Ulaya utakubali ombi la kuchelewesha Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya, ina maana Uingereza haitajitoa tarehe 29 Machi kama iliyopangwa.

    Serikali ya Uingereza inahitaji miezi mitatu zaidi kuwawezesha wabunge wapige kura kwa mara ya tatu kuhusu mpango wa waziri Mkuu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako