• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maseneta wa Marekani wapiga kura kumzuia rais Trump kutangaza hali ya dharura ya mpaka

    (GMT+08:00) 2019-03-15 09:50:51

    Maseneta nchini Marekani wamefanikiwa kuzuia jaribio la rais Donald Trump kutangaza hali ya dharura kwenye mpaka wa kusini kwa kura 59 dhidi ya 41. Hatua hiyo iliyoambatana na kura zilizopigwa na baraza la wawakilishi, inatarajiwa kumlazimisha Rais Trump kutumia haki yake ya turufu kwa mara ya kwanza tangu aingie madarakani. Hii pia ni mara ya kwanza kwa bunge kukataa azimio la hali ya dharura ya taifa tangu Sheria ya Dharura ya Taifa ianze kutekelezwa mwaka 1976.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako