• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa Bunge la Umma la China wafungwa

    (GMT+08:00) 2019-03-15 10:07:15

    Mkutano wa pili wa awamu ya 13 ya Bunge la Umma la China umefungwa leo asubuhi hapa Beijing. Ufungaji wa mkutano huo umehudhuriwa na viongozi wa China akiwemo rais Xi Jinping.

    Mkutano huo umepitisha sheria ya uwekezaji wa kigeni, ambayo ni mwongozo wa mfumo mpya wa sheria kuhusu uwekezaji kutoka nchi za nje. Mkutano huo pia umepitisha ripoti za kazi za serikali, kamati ya kudumu ya Bunge la Umma, mahakama kuu na idara kuu ya uendeshaji wa mashtaka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako