• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Li Keqiang asema mwelekeo wa maendeleo ya uhusiano kati ya China na Marekani haubadiliki

    (GMT+08:00) 2019-03-15 12:28:58

    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang leo hapa Beijing amesema, mwelekeo wa maendeleo ya uhusiano kati ya China na Marekani haubadiliki. Amefafanua kuwa mazungumzo ya kibiashara kati ya China na Marekani yanaendelea, na China inatumai mazungumzo hayo yatapata matokeo na kutimiza hali ya kunufaishana.

    Aidha Bw. Li amesema, China na Marekani zikiwa ni makundi makubwa mawili ya kiuchumi zimeshirikiana zaidi ya miongo kadhaa, hivyo haiwezekani kutengana. Zinapaswa kuhimiza uhusiano wao kwa kanuni ya kushirikiana, kuheshimiana na kunufaishana, ili kuwafanya wananchi wa pande mbili kunufaika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako