• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuendelea kuhimiza mageuzi ya mazingira ya biashara

    (GMT+08:00) 2019-03-15 12:43:15

    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang amesema, serikali ya China inatakiwa kuendelea kuhimiza mageuzi ya mazingira ya biashara katika mambo ya soko na sheria, na kudhihirisha mafanikio ya mageuzi kwa hatua halisi.

    Bw. Li amesema katika miaka 40 tangu China ianze kutekeleza sera ya mageuzi na kufungua mlango, China imepata mafanikio makubwa ambayo yamewanufaisha wananchi wake wote. Ameongeza kuwa ili kuboresha mazingira ya biashara, China inapaswa kujenga mfumo wenye ufanisi, na kuacha vitendo visivyostahili vya kuingilia kati shughuli za kibiashara, huku ikitekeleza vizuri majukumu yake ya lazima.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako