• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mjumbe wa China asisitiza suluhu ya kisiasa ya kudumisha umoja na utulivu wa Syria

    (GMT+08:00) 2019-03-18 08:47:19

    Mjumbe maalumu wa China kwa Syria Bw. Xie Xiaoyan ametoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuongeza juhudi ili kumaliza msukosuko wa Syria kwa njia ya suluhu ya kisiasa, inayoweza kudumisha umoja na utulivu wa Syria. Kwenye mkutano wake na waziri wa mambo ya nje wa Jordan Bw. Ayman Safadi mjini Amman, Bw. Xie amesema mamlaka, uhuru na ukamilifu wa ardhi wa Syria vinatakiwa kuheshimiwa na kudumishwa. Wamekubaliana kuwa hakuna suluhu ya kijeshi kwa msukosuko huo, na kusisitiza hitaji la kufikia makubaliano ya kisiasa yanayorudisha usalama wa nchi hiyo na kuweka mazingira kwa ajili ya wahamiaji kurudi nyumbani kwa hiari.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako