• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China ajibu barua ya walimu na wanafunzi wa Italia

    (GMT+08:00) 2019-03-18 18:56:35

    Walimu na wanafunzi wa Chuo cha "Vittorio Emanuele II" cha Roma wamemwandikia barua rais Xi Jinping wa China kabla ya rais huyo kufanya ziara nchini Italia.

    Katika barua hiyo, walimu na wanafunzi hao wameeleza matarajio makubwa kwa ziara ya rais Xi na nia yao ya kuendeleza urafiki kati ya China na Italia.

    Akijibu barua hiyo, Rais Xi Jinping wa China amewatia moyo na kuwataka kujitahidi kuhimiza maingiliano ya utamaduni kati ya China na Italia. Pia amewakaribisha wanafunzi wa chuo hicho kuja China kujifunza na kufanya kazi, na kutimiza ndoto zao nchini China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako