• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Viwanda vya sukari kubinafishwa Kenya

  (GMT+08:00) 2019-03-18 19:09:42
  Tume ya ubinafsishaji nchini Kenya inapanga kumtafuta mshauri kuangalia thamani ya viwanda vitano vya sukari nchini humo ikiwa ni jaribio la kuuza umiliki wa viwanda hivyo vinavyopata hasara ndani ya siku 120 zijazo.Tume hiyo imesema mshauri huyo atakagua mali ya kampuni za Sony, Nzoia, Muhoroni na Miwani na kutoa msimamo wa hali zao za kifedha kwa ajili ya kutoa kupendekeza bei ya viwanda hivyo. Ksatibu mkuu mtendaji wa tume hiyo Bw Josepg Kosgey amesema mchakato wa kuuza asilimia 51 ya hisa za kampuni hizo unaendelea na kuonyesha matumaini kuwa utakamilika ndani ya miezi kadhaa.

  Tume hiyo tayari imepata Baraka za salamu za maridhiano kati ya Raila Odinga na Uhuru Kenyatta pamoja na magavana kutoka kwa maeneo ambayo yanakuza miwa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako