• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China atarajia kufanya ziara katika nchi tatu za Ulaya

    (GMT+08:00) 2019-03-18 20:23:18

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang amesema, rais Xi Jinping wa China atafanya ziara katika nchi za Italia, Monaco na Ufaransa kuanzia tarehe 21hadi tarehe 26, mwezi huu.

    Rais Xi atafanya mkutano na viongozi wa nchi hizo kuhimiza uaminifu wa kisiasa na ushirikiano katika sekta mbalimbali kati yao ili kusukuma mbele uhusiano kati yao upate maendeleo zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako