• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China kuanza ziara barani Ulaya

    (GMT+08:00) 2019-03-19 09:33:41

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw Wang Yi jana akizungumza na wanahabari mjini Brussels amesema rais Xi Jinping wa China atafanya zaira nchini Italia, Manaco na Ufaransa kuanzia tarehe 21 hadi 26 mwezi huu, inayotarajiwa kuhimiza uhusiano wa wenzi wa kimkakati wa pande zote kati ya China na Ulaya.

    Bw. Wang amesema ziara hiyo ya Ulaya ni ziara ya kwanza ya rais Xi Jinping mwaka huu, inayoonyesha kuwa China inatilia maanani ushirikiano kati yake na Ulaya.

    Ameongeza kuwa ziara hiyo itatia nguvu mpya kwenye uhusiano wa wenzi wa kimkakati wa pande zote kati ya China na Ulaya, kutuliza mabadiliko ya hali ya sasa ya kimataifa, na kulinda utaratibu wa dunia yenye ncha nyingi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako