• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Pompeo asema Marekani itawasiliana tena na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un

    (GMT+08:00) 2019-03-19 14:40:55

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bw. Mike Pompeo amesema nchi yake itawasiliana tena na kiongozi mkuu wa Korea Kaskazini Bw. Kim Jong Un kuhusu masuala yanayofuatiliwa kwa pamoja. Bw. Pompeo amesema nchi hizo mbili zinaendelea kusonga mbele licha ya uwezekano mkubwa wa kukumbwa na changamoto kubwa njiani, ambazo zimekuwepo kwa miongo kadhaa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako