• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Safaricom yafungua kituo cha huduma Eldoret

  (GMT+08:00) 2019-03-19 20:01:31

  Kampuni ya mawasiliano nchini Kenya ya Safaricom imezindua kituo kipya cha huduma kwa wateja mjini Eldoret ambacho kinatarajiwa kuajiri watu 800.

  Safaricom pia imesema itatoa fursa za masomo ya nyanjani kwa wanafunzi 300 kutoka kaunti ya Uasin Gishu.

  Zaidi ya wateja milioni 30 wa Safaricom bado hupiga simu ili kupata huduma kutoka kwa kampuni hiyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako