• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uganda: Halmashauri mpya ya uwekezaji yateuliwa

  (GMT+08:00) 2019-03-19 20:01:53
  Wizara ya fedha nchini Uganda imeteua halmashauri mpya ya uwekezaji ili kuendesha miradi kadhaa.

  Waziri wa fedha na uwekezaji bibi Evelyn Anite, amesema halmashauri hiyo itatoa kipa umbele kwa miradi muhimu inayoendana na mahitaji ya sasa.

  Alitaja baadhi ya miradi hiyo kama ujenzi wa eneo jipya viwanda la acre Namanve la ekari 2,200.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako