• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Kenya kuomba upya mkopo wa kununua tingatinga

  (GMT+08:00) 2019-03-19 20:02:27
  Kenya bado haijanunua tingatinga za shilingi bilioni 10 kutoka India kenye makubaliano yaliofikiwa mwaka 2017.

  Muda wa kununua tingatinga hizo unakamilika mwezi Juni.

  Balozi wa India nchini Kenya Rahul Chhabra amesema kuwa Kenya itahitaji kuomba upya mkopo wa ununuzi huo kufuatia ucheleweshaji wa ombi la kwanza.

  Makubaliano ya mkopo huo yalitiwa saini na Rais Uhuru Kenyatta na waziiri mkuu wa India Narendra Modi mwaka 2017 ili kusaidia kuongeza uzalishaji wa chakula.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako