• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda: Serikali ya Rwanda kuuza hisa zake katika ya Cimerwa

  (GMT+08:00) 2019-03-19 20:03:36
  Serikali ya Rwanda iko katika hatua za mwisho za kuuza hisa zake katika kampuni ya kutengeneza wa saruji, Cimerwa.

  Rais Paul Kagame amekuwa akilalamikia kuwepo na hisa za serikali kwenye katika kampuni hiyo hata wakati inafanya hasara kubwa,

  Mwaka 2012, Pretoria Portland Cement (PPC) ilinunua hisa nyingi katika kampuni ya Cimerwa, na kuchukua asilimia 51 ya umiliki wake huku nayo serikali ikisalia na asilimia 41.

  Licha ya kuwepo kwa zaidi ya miaka 30, Cimerwa bado haijakuwa na mgao mkubwa wa soko huku saruji za kutoka Uganda Tanzania nan chi nyingine zikiuza kwa kiwango kikubwa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako