• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkuu wa mazungumzo wa EU kuhusu Brexit asema maandalizi kuhusu Brexit bila makubaliano yanapaswa kuhitimishwa

    (GMT+08:00) 2019-03-20 09:02:00

    Mkuu wa mazungumzo wa Umoja wa Ulaya kuhusu Brexit Bw. Michel Barnier amesema Umoja wa Ulaya uko tayari na Brexit isiyo na makubaliano, wakati Bunge la Ulaya na Baraza lake wameidhinisha karibu hatua zote za kukabiliana na dharura. Akizungumzia ombi la Baraza la Makabwela la Bunge la Uingereza kuongeza muda wa Kifungu cha 50 cha Makubaliano ya Lisbon, Bw. Michel amesema kama serikali ya Uingereza inatoa ombi hilo kwenye mkutano wa kilele wa Umoja wa Ulaya utakaofanyika kesho, viongozi 27 watajadili ombi hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako