• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Droo ya robo fainali ya Klabu Bingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kufanyika leo Cairo Misri.

  (GMT+08:00) 2019-03-20 09:36:50

  Viongozi wa timu zilizofuzu hatua ya robo fainali ya klabu bingwa Afrika na ile ya kombe la shirikisho barani Afrika wamewasili mjini Cairo Misri tayari kushuhudia droo ya upangaji timu zao katika makundi ya michuano hiyo.

  Timu za Afrika Mashariki Simba ya Tanzania imefuzu kuingia hatua ya robo fainali ya klabu bingwa huku Gor Mahia ya Kenya imefuzu hatua hiyo ya robo fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako