• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kareti: Tanzania kushiriki mashindano ya dunia ya Kareti

    (GMT+08:00) 2019-03-20 09:37:37

    Tanzania inatarajia kupeleka timu ya kushiriki mashindano ya Olimpiki na yale yatakayojumuisha nchi 80 yanayotarajiwa kufanyika nchini Japan.

    Akizungumza na Ayo Tv na millardayo.com mara baada ya kutoa semina kwa waandishi wa habari, Mwenyekiti wa JKA, Sensei Jerome Mhagama amesema wanajiandaa na mashindano mbalimbali hasa kwenye michezo ya Olimpiki itakayofanyika Japan.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako