• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kauli mbaya dhidi ya ushirikiano kati ya China na Afrika hazizingatii hali halisi

    (GMT+08:00) 2019-03-20 20:00:52

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang amesema, kauli mbaya kuhusu ushirikiano kati ya China na Afrika hazizingatii hali halisi.

    Bw. Geng amesema, China na Afrika zote zinafaidika kutokana na ushirikiano huo. Amesema China itaendelea kuongeza ushirikiano katika sekta mbalimbali chini ya mfumo wa "Ukanda Mmoja na Njia Moja" na kusukuma mbele kutekeleza makubaliano yaliyofikiwa na viongozi wa China na Afrika katika mkutano wa Baraza la Ushirikiano la China na Afrika wa mwaka jana ili kusukuma mbele ushirikiano wa wenzi wa kimkakati kati yao upate maendeleo zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako