• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali ya Yemen yalishutumu kundi la Houthi kufanya mji wa Hodeidah uingie tena vitani

    (GMT+08:00) 2019-03-21 10:44:38
     

    Serikali ya Yemen imewashutumu waasi wa kundi la Houthi kwa kufanya makabiliano ya kijeshi yazidi kuwa makali katika mji wa Bahari Nyekundu wa Hodeidah licha ya makubaliano ya amani yaliyofikiwa chini ya upatanishi wa Umoja wa Mataifa. Msemaji wa serikali Bw. Rajeh Badi, amesema waasi wa Houthi wanaendelea kutuma wapiganaji mjini humo ili kufanya eneo hilo liingie tena vitani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako