• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • NDONDI: Pacquiao kupata mpinzani mpya, huenda wakapanda ulingoni mwezi Julai

  (GMT+08:00) 2019-03-22 09:21:49

  Bondia Mfilipino Manny Pacquiao huenda akakutana na Spence Jr ambaye anapewa nafasi kubwa ya kupanda nae ulingoni hivi karibuni baada ya Floyd Mayweather kueendelea kuwa kimya kuhusu uwepo wa pambano la marudiano.

  Manny Pacquiao anatarajia kupanda ulingoni Julai mwaka huu na kwa sasa Spence Jr. ndiye anayetarajiwa kupanda naye ulingoni katika pambano ambalo linatarajiwa kuitwa pambano la mwaka katika uzito huo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako