• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Pogba awanunulia wachezaji wa timu ya taifa ya Ufaransa pete za thamani kubwa, kama ukumbusho baada ya kutwa kombe la dunia

    (GMT+08:00) 2019-03-22 09:25:14

    Mchezaji wa Manchester United na timu ya taifa ya Ufaransa, Paul Labille Pogba ameamua kuwanunuliwa wachezaji wenzake wa timu ya taifa ya Ufaransa Pete ikiwa kama ishara ya ukumbusho baada ya kutwaa taji la kombe la dunia mwaka jana.

    Mbele ya waandishi wa habari, Pogba amesema ni zawadi ndogo lakini anaamini inathamani kubwa kwa wachezaji wenzake na mchezaji mwenzake Antonine Griezmann alimsaidia kubuni pete hizo, ambazo zina alama ya timu ya taifa ya Ufaransa na yenye maneno mabingwa wa dunia pia zinajumuisha kila jina la mchezaji aliyeshiriki michuano hiyo ya kombe la dunia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako