• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa China kuhudhuria mkutano wa mwaka 2019 wa baraza la Asia la Boao

    (GMT+08:00) 2019-03-22 19:13:06

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang leo amesema, waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang atahudhuria mkutano wa mwaka 2019 wa baraza la Asia la Boao utakaofanyika alhamis wiki ijayo mkoani Hainan, na atahutubia ufunguzi wa mkutano huo.

    Waziri mkuu wa Korea Kusini Bw. Lee Nak yong, waziri mkuu wa Laos Bw. Thongloun Sisoulith, waziri mkuu wa Luxembourg Bw. Xavier Bettel, waziri mkuu wa Sao Tome and Principe Bw. Jorge Bom Jesus pia wamealikwa kuhudhuria mkutano huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako