• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • CMG na shirikisho la soko la Italia zafanya ushirikiano

  (GMT+08:00) 2019-03-25 10:41:14

  Mkurugenzi wa kituo kikuu cha radio na televisheni cha China CMG Bw. Shen Haixiong na mwenyekiti wa Shirikisho la soka la Italia jana huko Roma wamesaini makubaliano ya MoU ya ushirikiano, na ligi ya Italia inatarajiwa kuingia nchini China ndani ya miaka mitatu ijayo.

  Kutokana na makubaliano hayo ya MoU, pande hizo mbili zitafanya juhudi kuhimiza soka la Italia liunganishe soko la michezo la China, kueneza michezo ya soka nchini China, kuandaa mechi za kirafiki kati ya timu za taifa za nchi hizo mbili, n.k.

  Bw. Shen amesema, CMG itafanya juhudi kuunga mkono ushirikiano wa kimataifa wa jumuku la soka la China, na kuhimiza uhusiano kati ya China na Italia kwa kupitia michezo ya soka.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako