• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatumaini Marekani itashughulikia ipasavyo masuala yanayohusu Taiwan

    (GMT+08:00) 2019-03-25 18:46:36

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Bw. Geng Shuang leo amezungumzia tukio la manowari mbili za Marekani kuvuka kwenye mlango bahari wa Taiwan.

    Geng Shuang amesema, China imetoa malalamiko kwa Marekani kufuatia tukio hilo, ikitumaini kuwa Marekani itafuata sera ya kuwepo kwa China moja, na kanuni zilizowekwa kwenye taarifa tatu za pamoja kati ya China na Marekani. Pia Marekani itashughulikia ipasavyo masuala yanayohusu Taiwan, ili kuepusha kuharibu uhusiano kati ya pande hizo mbili, pamoja na amani na utulivu kwenye Mlango wa bahari wa Taiwan.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako