• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waasi 50 wa Houthi wauawa katika mashambulizi ya anga yaliyoongozwa na Saudi Arabia mashariki mwa Yemen

    (GMT+08:00) 2019-03-26 09:00:15

    Tovuti ya serikali ya Yemen imesema waasi wasiopungua 50 wa kundi la Houthi wameuawa katika mashambulizi ya anga yaliyoongozwa na Saudi Arabia katika eneo la Serwah, mkoani Marib, mashariki mwa Yemen. Serwah ni eneo pekee linalodhibitiwa na kundi la Houthi katika eneo la mashariki mwa Marib, na sehemu nyingine za mkoa huo wenye utajiri wa mafuta, ziko mikononi mwa serikali inayotambuliwa kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako