• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Baba mzazi wa Neymar katibua uvumi wa mwanae kwenda Real Madrid

  (GMT+08:00) 2019-03-26 09:19:49

  Wakati kukiwa na tetesi kuwa mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil anayeichezea klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa Neymar kuwa anaweza kuihama klabu hiyo, kwa madai ya kupata presha kubwa kutoka kwa wakongwe wa Brazil kuwa kama anataka kuwa mchezaji bora duniani na kushinda tuzo anapaswa kuwa katika klabu na ligi ya juu.

  Baba mzazi wa mchezaji huyo Neymar Senior ameweka wazi kuwa mwanae anaweza kuendelea kuitumikia PSG kwa miaka mingine tena, kauli hiyo imekuja baada ya baba huyo kuweka wazi kupitia mahojiano na UOL Sporte kuwa tayari wameshafanya mazungumzo na PSG ya kuongeza mkataba.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako