• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Kufuzu kombe la mataifa ya Afrika U-23: Kenya yashindwa kulipa kisasi kwa Sudan, yaaga mashindano

  (GMT+08:00) 2019-03-27 08:31:44

  Timu ya taifa ya Kenya ya wachezaji chini ya miaka 23 (Emerging Stars) imeshindwa kulipa kisasi kwa timu ya taifa ya Sudan ya wachezaji chini ya miaka 23 katika mchezo wa marudiano wa kufuzu kombe la mataifa ya Afrika kwa vijana wasiozidi mikaka 23 uliopigwa jana uwanja wa Kasarani jijini Nairobi kwa kulazimishwa sare ya 0-0.

  Kenya imeaga mashindano hayo kwa kufungwa magoli 2-0, katika mchezo wa kwanza uliopigwa nchini Sudan, huku Kenya ikishindwa kulipa kisasi katika mchezo wa jana na kuondolewa kwenye michuano hiyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako