• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yatoa waraka kuhusu mageuzi ya kidemokrasia na mafanikio mkoani Tibet

  (GMT+08:00) 2019-03-27 10:06:32

  Ofisi ya habari ya baraza la serikali la China leo imetoa waraka kuhusu mageuzi ya kidemokrasia na maendeleo makubwa yaliyopatikana katika mkoa wa Tibet katika miaka mingi iliyopita.

  Waraka huo kuhusu mageuzi makubwa ya Tibet katika miaka 60 iliyopita, unasema mageuzi ya kidemokrasia katika mkoa wa Tibet ni mabadiliko makubwa ya kijamii katika historia ya Tibet.

  Kwa kuondoa utwana ambao ni mfumo mbaya wa ukabaila, Tibet iliweza kuanzisha mfumo mpya wa kijamii ambao uliwakomboa watu na kuwafanya kuwa mabwana wa taifa na jamii, na kuhakikisha haki zao katika masuala yote.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako