• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Huawei yapongeza Umoja wa Ulaya kwa kutoa ushauri kwa njia sahihi kuhusu usalama wa 5G

    (GMT+08:00) 2019-03-27 14:46:14

    Mwakilishi mkuu wa Kampuni ya teknolojia ya Huawei katika Umoja wa Ulaya Bw. Abraham Liu ameipongeza Kamisheni ya Umoja wa Ulaya kwa kutoa ushauri kwa njia sahihi kuhusu usalama wa mtandao wa 5G. Taarifa iliyotolewa naye imesema Huawei inafahamu usalama wa mtandao wa internet unaofuatiliwa na wabunge wa Ulaya, na inapenda kutoa mchango kwa utaratibu wa usalama huo barani Ulaya katika msingi wa kuelewana. Taarifa hiyo pia imesema Huawei imeahidi kushirikiana na wabunge na wenzi wote, ili kufanikisha onyesho la kwanza la 5G barani Ulaya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako