• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa UNGA amesema kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa ni njia bora zaidi ya kuondoa umaskini

    (GMT+08:00) 2019-03-29 08:55:17

    Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Bibi Maria Espinosa amesema kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa ni njia bora ya kutatua tatizo la umaskini. Amesema afya na furaha ya binadamu pia vitaathiriwa vibaya, na kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa kunaweza kupunguza idadi ya watoto wanaopumua hewa chafu au kupunguza idadi ya watu waliohama makazi yao kutokana na hali ya hewa, ambayo mwaka jana pekee ilikuwa milioni mbili. Bibi Espinosa alisema hayo kwenye mkutano wa ngazi ya juu kuhusu hali ya hewa na maendeleo endelevu uliofanyika jana mjini New York.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako