• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Derby ya Al Ahly na Zamalek hakuna mbabe

    (GMT+08:00) 2019-04-01 19:17:18

    Mechi iliyoteka hisia kubwa za mashabiki si tu nchini kwao Misri bali Afrika nzima, mchezo wa ligi kuu uliokuwa na presha kubwa baina ya Al Ahly na Zamalek umepigwa Jumamosi.

    Al Ahly wakiwakaribisha Zamalek kwenye uwanja wa Borg –al-Arab wamelazimishwa sare ya 0-0. Licha ya uwanja huo kubeba mashabiki 86,000. Chama cha soka nchini humo EFA kiliruhusu mashabiki 30 tu kutokana na usalama, mashabiki 15 kutoka kila timu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako