• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Pilato wa Simba na TP Mazembe atoka Algeria

    (GMT+08:00) 2019-04-02 09:10:49
    Shirikisho la soka Afrika (CAF) limemteua Mustapha Ghorbal wa Algeria kuchezesha mechi ya robo fainali ya kwanza ya ligi ya mabingwa Afrika kati ya Simba Sports Klabu ya Tanzania na TP Mazembe ya DRC.

    Ghorbal atasaidiana na Mahmoud Abouelgregal kutoka Misri na Mokrane Gourari wa Algeria kwenye mchezo utakaopigwa Jumamosi ya wikiendi hii uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

    Mchezo wa marudiano utachezwa wiki moja baadaye mjini Lubumbashi DRC. Timu hizo mara ya mwisho zilikutana katika hatua ya mtoano mwaka 2011 huku Simba ikipoteza michezo yote miwili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako