• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: UEFA yaishushia rungu Chelsea na Malmo

    (GMT+08:00) 2019-04-02 09:11:41
    Chama cha soka Ulaya UEFA kimetangaza kuzipiga faini klabu za Chelsea na Malmo kufuatia tukio lililotokea wakati wa mchezo wa UEFA Europa mwezi Februari.

    UEFA wamefikia hatua ya kuitoza Chelsea faini ya paundi 11,100 huku Malmo wakitozwa faini ya paundi 49,000 kwa kosa lililofanywa na mashabiki wao kuingia uwanjani wakati Malmo wakipokea adhabu hiyo kutokana na mashabiki wao kurusha miale ya moto uwanjani wakati wa mchezo baina yao ulipokuwa ukiendelea. Chelsea walishinda goli 2-1.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako