• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kutafuta njia mpya ya Brexit  kwa makubaliano ni njia pekee mwafaka

    (GMT+08:00) 2019-04-02 19:09:17

    Ofisa wa Uingereza anayeshughulikia mambo ya kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya Bw. Stephen Barclay amesema, njia pekee iliyobaki kwa sasa ni kutafuta haraka njia mpya inayowezesha Uingereza kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya kwa makubaliano.

    Miswada minne ya Uingereza kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya haikupitishwa kwenye duru ya pili ya upigaji kura ya bunge la chini la Uingereza, hivyo kuifanya kukosa nguvu kisheria.

    Aidha, bunge la Uingereza limejadiliana kuhusu uwezekano wa kuacha kujitoa kwenye umoja huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako