• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Benki kuu ya Tanzania yatoa ufafanuzi kuhusu usafirishaji wa dola

    (GMT+08:00) 2019-04-02 19:37:27

    Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Florens Luoga amesema masharti ya Tanzania ya kusafirisha dola sio magumu bali ni utaratibu wa kawaida kwa kila nchi ambayo unapeleka fedha hizo.

    Profesa Luoga amesema masharti ya kusafirisha dola yameendelea kubaki katika Sheria tangu mwaka 1992 na masharti hayo si kwa Tanzania pekee bali na kwa nchi nyingine.

    Amedokeza kwa mfano Marekani na Uingereza huruhusiwi kuingiza zaidi ya dola 10,000.

    Amesema pesa ambayo unaruhusiwa kutoka nayo nchini ni ile ambayo unaruhusiwa kuingia nayo katika nchi nyingine.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako