• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Rwanda na Israel zazindua kituo cha pamoja cha kuendeleza kilimo

    (GMT+08:00) 2019-04-03 19:19:37

    Rwanda na Israel zimezindua kituo cha pamoja cha kuendeleza kilimo kwa lengo la kuongeza uzalishaji kupitia utafiti na teknolojia ya kisasa.

    Ushirikiano huo ni kati ya serikali ya Rwanda na shirika la Israel la maendeleo ya kimataifa.

    Naibu mkurungezi wa katibu kwenye wizara ya mambo ya kigeni ya Israel Balozi Gil Haskel, amesema ushirikiano huo ni ishara ya uhusiano wa kufana kati ya Rwnada na Israel.

    Fedha ambazo zimetolewa ili kuanza kutekeleza mradi huo ni dola milioni 2.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako