• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • GOFU: UGC yazindua michuano ya wazi ya Gofu

    (GMT+08:00) 2019-04-04 10:50:16

    Chama cha gofu cha Uganda (UGC) kimezindua michuano ya wazi ya gofu katika uwanja wa gofu wa hoteli ya Serena ziwa Victoria. Rais wa chama hicho Innocent Kihika amesema mwaka huu wataongeza michezo zaidi ya gofu ikiwemo bonanza, ili kuongeza chachu ya mchezo huo.

    Ameeleza kuwa, michuano ya wazi ya mchezo wa gofu mwaka huu utashirikisha wachezaji kutoka Tanzania, Kenya, Botswana, Burundi, Rwanda, Afrika Kusini, Malawi, Nigeria, Namibia, Zambia, Zimbabwe na Marekani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako