• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda-Bei ya wastani ya simu yashuka maradufu

    (GMT+08:00) 2019-04-04 19:51:25

    Bei ya wastani ya simu za kisasa za mkononi imeshuka kwa zaidi ya nusu ndani ya kipindi cha miaka mitatu.

    Hayo ni kwa mujibu wa Ripoti mpya ya simu za mkononi ya Jumia 2019.

    Ripoti hiyo inasema kuwa ueneaji wa simu za kisasa za mkononi umesababisha kupungua kwa bei za bidhaa hizo.

    Mwaka 2014,Jumia ilirekodi kuwa bei ya wastani ya simu janja ni $165 (Shs609,906) thamani ambayo imeshuka kwa zaidi ya asilimia 50 ndani ya miaka mitatu.

    Ripoti hiyo inaonyesha kuwa bei ya wastani ya simu hivi sasa ni $82 (Shs303,104).

    Kulingana na Ripoti hiyo kuongezeka kwa watengezaji wa simu za mkononi kuomeongeza ushindani katika soko huku China ikiibuka kidedea.

    Kampuni ya China ya simu za mkononi ya Tecno imekuwa chaguo linaloongoza kwa watumizi wa simu za mkononi tangu mwaka 2016,ikifuatiwa na Samsung,Infinix,Nokia na Apple.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako