• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mkuu wa kampuni ya Boeing akiri makosa ya mfumo wa udhibiti wa ndege zilizoanguka

  (GMT+08:00) 2019-04-05 19:31:07

  Mkuu wa kampuni ya Boeing ya Marekani Bw. Dennis Muilenburg amekiri kuwa katika ajali za ndege mbili za Boeing 737-8, mfumo wa kuongoza kasi ya ndege MCAS ulikuwa na matatizo, na kampuni hiyo itaboresha program husika katika wiki zijazo.

  Bw. Muilenburg amesema hayo katika tovuti ya kampuni hiyo, na kuongeza kuwa, ingawa habari kamili za ajali hizo mbili zitatangazwa rasmi na shirika hilo baadaye, lakini kutokana na ripoti ya uchunguzi wa awali kuhusu ajali ya ndege ya Boeing namba 302 ya kampuni ya Ethiopia, ni dhahiri kwamba, mfumo wa MCAS uliwashwa na vifaa vya utambuzi kwa makosa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako