• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Ligi kuu Uingereza, vita ya Top Four, Arsenal yavutwa shati

    (GMT+08:00) 2019-04-08 08:56:32

    Phil Jagielka wa Everton ameifungia bao la pekee timu yake ilipoumana na washika bunduki wa jiji la London, Arsenal katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza iliyopigwa jana uwanja wa Goodison Park mjini Liverpool.

    Kwa ushindi huo, Everton inachupa hadi nafasi ya tisa, Arsenal ikibakiwa na alama zake 63 sawa na Chelsea katika nafasi ya nne baada ya wote kucheza mechi 32.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako