• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Uwanja mpya wa Tottenham washika nafsi ya pili kwa ukubwa London

  (GMT+08:00) 2019-04-09 08:21:44
  Klabu ya Tottenham Hotspurs ya Uingereza inayoshiriki ligi kuu nchini humo, tayari imeufungua uwanja wake mpya ambao ulianza kujengwa mwaka 2016, Ukiwa ni uwanja wa pili katika jiji la London kuingiza watu wengi baada ya Wembley kuingiza watu elfu 90000. Uwanja wa Tottenham una urefu wa mita 105 na upana wa mita 68

  Uwanja huu ukiwa umegharimu dola za Marekani bilioni 1.3 wakiupa jina la Uwanja wa Tottenham Hotspur ambalo ni jina la muda kwani wanatarajia kulibadili jina hili Ingawa mashabiki wa timu hiyo wanapendekeza Uitwe "new white hart lane stadium".

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako